3 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam


Kiwanja kizuri sana chenye nyumba ya vyumba vitatu kinauzwa
Kipo goba mageti
Kinaukubwa. Wa
Sqmt 500
Kina hati miliki ya wizara ya Ardhi yani title deed
Kipo mita. 200 kutoka barabra yalami
BEI : MILIONI: 48
maongezi yapo
0746 433 854


















