3 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI INAUZWA GOBA MATOSA (MILLION 30) KWA NIABA YA BANK
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki : Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa
Ukubwa Wa Eneo: SQM 300
Umbali: Meter 200 Tu Kutoka Barabara kuu (Lillian Kibo)
Bei : 30 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
☎️0788 077337 ☎️ 0625 637254