3 Bedrooms House for sale at Iyumbu, Dodoma


✅ Nauza nyumba iyumbu Udom
✅ Uwanja wake una sqm 518
✅ Kuna chumba sebule na toilet ndani Kuna mpangaj analipia 120000
✅Kuna chumba sebule analipia laki
✅Kuna vyumba vitatu kimojakimoja Kila kimoja kod 50000
✅ Kunanafas pembeni yakujenga self nne pembeni
✅ Nyumba ipo kwenye barabara ya m 15 Kuna umeme na maji
✅ Document ni invoice
Bei ni kitonga kabisa million 40 tuuuu