3 Bedrooms House for sale at Kibada, Dar Es Salaam
YA-VYUMBA VITATU (3) TSHS.170 MILIONI, GARIBOVU, KIBADA,KIGAMBONI.
Wastani wa kilomita 8 kutoka Ferry.
Nyumba mpya ya kisasa.
HAIJAWAHI KUKALIW NA NI-YAKUHAMIA.
Kiwanja SQM.700.
Umiliki ni MKATABAWAMAUZIANO.
Mita chache sana kutoka Barabara ya Lami.
Vyumba 3 ( Masta 1)
Pia kuna Banda zuri nyuma vyumba 2 kimoja kina Choo.
Maji yanatoka ya Daqasco.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_______________mWn
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
.