3 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani







#NYUMBA INAUZWA
MAHALI KIBAHA PICHA YA NDEGE
UKUBWA WA KIWANJA (30x40)
NYUMBA TAYAR INA UMEME NA MAJI
UMBALI NI KM 1 TU KUTOKA BARABARAN
NYUMBA IPO KWENYE MAZINGIRA MAZURI
BARABARA ZAKE NI NZURI
NJE KUNA SPACE KUBWA IMEBAKI UNAWEZA KUJENGA MABANDA KAMA NI MFUGAJI AU KUFANYA CAR PARKING
KIWANJA KIMEPIMWA TAYAR NA HAT MILIKI IPO
#SIFA_ZA_NYUMBA
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SITTING ROOM KUBWA
DAINING KUBWA
JIKO
STOO
PUBLIC TOILET
BEI TSH MILIONI 63 TU
SITE VISIT 30000(hii itadumu mpka utakapo Pata nyumba kwetu)
☎️ #0757208653