3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA NA BANK, TSHS.15 MILIONI TU, TUNDWI-KIGAMBONI.
Hii Mali inahitaji umaliziaji ukiwa una makuu lakini tayari watu wanaishi humo.
Ipo TUNDWI SENTA.
Wastani wa kilomita 40 kutoka Feri/Kivukoni.
Ina vyumba 3 (Masta 1) Pia na Sebule,
Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255⁷14591548
______________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.