3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
Nyumba nzuri sana ina uzwa bei nzuri sana tsh million (68) tu
Nyumba ipo kigamboni toangoma muembe mtengu Jiji la dar es salaam wilaya temeke kata ya chamaz mtaa
Eneo square miter (700)
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Vyumba vitatu vya kulala vyumba viwili ni masters bedroom
Ina sitting room na daining room
Ina jiko pamoja public
Ina kisima cha maji na umeme upo wa luku
Kutoka bara bara kuu ya lami kuja kwenye hii nyumba ni dakika 10 tu
Kama kilometers 2 tu
Nyumba nzuri sana mdau wangu ukiwa sirious uwezi kuiyacha kabisa nzuri sana
Mwenyewe ana shida sana kavulugwa ana itupa tu kwa bei nafuu sana tsh million 68 tu
Ukitaji kuiyona nipigie cm au nichek Whatsapp 0759203175. 0652618143