3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


VIVO CROSSROAD BEACH RESIDENCY (search kwenye google map)
Nyumba karibu na Mikadi Beach Kigamboni ( Nyumba 2 yenye sq-meter 495) hati ya kisasa ya mtandao:
>Nyumba Kubwa:
3 Master Bedroom
2 Balcony
1 Laundry room
1 Public bathroom
1 Store room
1 kitchen
1 Dining area
1 Sitting room area
Parking za magari matano(5)
>Nyumba Ndogo:
Open kitchen Siting room
2 Master Bedroom
1 Backony
1 Public Toilet
Parking ya gari mmoja(1)
Bei ni 3000M tsh, maelewano yapo.