3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
BISMULLAH🌺 HII NI KIGAMBONI KIBADA MWERA KIWANJA KINA UKUBWA WA SQM 800 BEI NI MILLION THELATHINI NA TANO TU (35,000,000/=)
KINA BOMA RAMANI YAKE NI GHOROFA MOJA CHINI KUNA SITTING ROOM, DINING ROOM, MASTER BEDROOM , KITCHEN NA PUBLIC TOILET, FLOW YA KWANZA KUNA MASTER BEDROOM 3 NA BALCON.
SITE VISIT NI KILA SIKU USAFIRI BURE
📍OFFICE: KIGAMBONI MJIMWEMA
hotline 0657 015 990