3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


👉NYUMBA INAUZWA IPO KIGAMBONI GEZA ULOLE BLOCK 15
👉NYUMBA INAVYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTAR SEBULE NA JIKO
👉NYUMBA INA UMILIK WA HAT KAMIL YA WIZARA
👉PIA INAUKUBWA WA ENEO RA SQM 650
👉NIUMBARI WA KILOMETAR 10 KUTOKA FER YAAN KIGAMBONI KIVUKONI
👉NAPIA UMBAL WA KILOMETAR 11 KUTOKA DARAJA RA NYELELE
👉NA UMBAL WA KILOMETA 1 KUTOKA BARABARA KUBWA YA RAMI HAD KUFIKA KWENYE NYUMBA
👉BEI MILL 50
👉kwa maelezo zaid
☎️0789020004
👉NB: gharama za kupelekwa kwenye nyumba ni erf 20k