3 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INAUZWA
IPO KIMARA MWISHO BONYOKWA, UWAWEZA KUINGILIA TABATA SEGEREA AU KIMARA MWISHO
BEI TSH MILIONI 48 MAONGEZI YAPO
UKUBWA WA KIWANJA SQM 400
UMILIKI MAUZIANO SERIKALIYAMTAA(Sales Agreement )
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER, SEBULE, JIKO, DINNING NA CHOO PUBLIC NDANI YA FENSI
PIA KUNA SERVANT QUARTER YA VYUMBA V2
GHARAMA ZA KUPELEKWA SITE NI SH ELFU 30 HAIHUSISHI USAFIRI
TUWASILIANE
0746 433 854