3 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam







NI NYUMBA KUBWA SANA INAUZWA MILIONI 85 MAONGEZI YAPO
#NYUMBA IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI UMBALI WA KM 3 KUTOKA MOROGORO ROAD
SIFA ZA NYUMBA
##############
NYUMBA INA
#VYUMBA VITATU VIKUBWA SANA VYA KULALA #KIMOJAWAPO NI MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINING KUBWA
#JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
PIA PANA SEVARNT KOTA YA CHUMBA NA SEBULE
NYUMBA NI NZURI AINA MGOGORO WOWOTE NI MMILIKI MWENYEWE ANAUZA
NYUMBA INAFIKIKA VIZUR BILA SHIDA YOYOTE
NYUMBA IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI NYUMBA NI YA KUNUNUA KUDEKI NA KUAMIA TU
#BEI NI ML 85 MAONGEZI YAPO
SERVICHAJ ELFU 30
CONTACT
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747