3 Bedrooms House for sale at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Hii ni nyumba mpya kabisa inauzwa.
Ipo Kinyerezi Mskitini kwa Ditopile.
Ina vyumba vitatu (kimoja master), sebule, jiko, public toilet n.k.
Maji na umeme tayari.
Bei: Mil 40
Udalali aslimia 10 ya mauzo.
Muhitaji piga 0688 412 890.