3 Bedrooms House for sale at Kiseke, Mwanza
NYUMBA INAUZWA KISEKE
-ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja ni self contained, sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-ukubwa wa kiwanja ni 25x20 ( SQM 500 )
-ina hati miliki mkononi
-umeme na maji vipo ndani ya nyumba
-bei Milioni 58
NB:-
-nyumba ipo karibu na barabara ya lami
☎️ 0743220097