3 Bedrooms House for sale at Kivule, Dar Es Salaam
NYUMBA MPYA INAUZWA
IPO KIVULE BOMBAMBILI (KAPUNGU) DAR ILALA
📌BEI MILION 45 tsh 🇹🇿 📍 📍 📍 maongezi kidogo yapo 📌
UKUBWA WA ENEO SQM 600
UMILIKI: LESENI YA MAKAZI
VYUMBA 3 VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
SITTING, DINNING ROOM
JIKO, STOO
PUBLIC TOILET, TAILZ
JIPSAM,MAJI YAPO
UMEME, FENCE KOTE
Mazingila tulivu Sana
Tupigie CM 🩸🩸🩸
0678588718
0767921871,,whasp