3 Bedrooms House for sale at Kivule, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA - MILIONI 38 [MAONGEZI KIDOGO]
#ILIPO: KIVULE MSONGOLA
✔️NYUMBA NI NZURI SANA NAYO BEI IMEPOOAAA, MWENYEWE ANAIUZA PASIPO KUA NA SHIDA YEYOTE
✔️NYUMBA NI YA KUPIGA DEKI NA KUHAMIA HAPO HAPO, INA SEBULE KUBWA, DINNING ROOM, VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJAWAPO NI SELF-CONTAINED ROOM, JIKO NA CHOO CHA PUBLIC
✔️NYUMBA INA FENSI NA ENEO LAKE NI 350SQM
✔️NYUMBA SII YA KUIKOSA, BEBA ATM CARD YAKO NJOO SITE NA UHAMIE LEO LEO
☎️0788 077337 ☎️ 0625 637254
KUPELEKWA NI 30K