3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam


๐ก NYUMBA YA KISASA INAUZWA โ MADALE, MITA UZUNGUNI
Fursa ya kipekee ya kumiliki nyumba nzuri na ya kisasa kwenye mtaa tulivu!
๐ Maelezo ya Nyumba:
๐๏ธ Vyumba 3 vyote ni master
๐๏ธ Sebule kubwa ya kupumzika
๐ฝ๏ธ Jiko, stoo na dining
๐ฝ Public toilet
๐๏ธ Chumba cha mlinzi
๐ Kiwanja: sqm 700
๐ฐ Bei: TSh 300,000,000 (maongezi yapo)
๐ Eneo: Madale, mita uzunguni
0746 433 854