3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam
Nyumba mpya ya kisasa inauzwa:
Location _ Madale kwa kawawa
Room 3 / 2master bedrooms
Dirning sitting jiko store public toilet na maji dawasco
Full A/C sebuleni na master
Pia Kuna chumba cha nje na Choo
Eneo-sqm 600
Kumepimwa Hati bado
Bei-ml 350 maongezi
Location- madale kwa kawawa
Umbali-km 1.2 kutoka main road madale Shelaton
Karibuni
PIGA SIMU: CONTACT: 0672 673363