3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam


*NYUMBA MPYA INAUZWA – MADALE, FRALAMINGO*
Nyumba mpya kabisa inauzwa, ipo eneo zuri la Madale Fralamingo. Imejengwa kwa ubora na ipo tayari kwa kuhamia.
Sifa za nyumba:
Vyumba 3 vya kulala (kimoja ni Master Bedroom)
Sebule kubwa yenye dirisha (dining)
Jiko kubwa
Choo cha familia (public toilet)
Eneo:
Ukubwa wa kiwanja: 600 sqm
Hati miliki ipo
Bei: Milioni 150
Wasiliana na mmiliki: Simu / WhatsApp: +255 742 892 195
Usikose nafasi hii ya kumiliki nyumba ya kisasa kwenye eneo tulivu!