3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam
Nyumba nzuri sana ya kisasa inauzwa:
Imeshuka bei anauhitaji wa hela kwa haraka kutoka 220, 200 na sasa ni 190 maongez na mwenyewe
Nyumba inavyumba vi 3 vyote ni masta, tena kama masta ya juu ghorofani ni kubwa kama sebule
Dirning sitting jiko stoo public toilet na maji dawasco
Eneo- sqm 889
Umiliki- Hati miliki
Bei-ml 190 maongez
Location- madale mivumoni
Umbali-mita 400 kutoka main road madale shule
Karibuni