3 Bedrooms House for sale at Majohe, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI G/MBOTO MAJOHE (MILLION 23) INAUZWA KWA NIABA YA BANK .
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Sitting,Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa
Ukubwa Wa Eneo: SQM 400
Mark : Ofisi Ya Serikali Ya Mtaa Kivule Majohe
Bei : 23 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=