3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Nyumba ya vyumba 3 vya Kulala stingiroom dainingiroom master toilet pclic kicheni stoo Nyumba Hati yake ya serekari ya mtaa ukubwa sqm 400 Nyumba mpya Nyumba aipo Mbali Na Barbara kuu ya rami kama dk chache tu Nyumba ina fremu chumba 1 Nyumba bei ml 65 #068491594 #0716974073