3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 24,000,000

Hbr za Asubui ndugu na jamaa leo dalali wenu Rick Ross nawaletea mjengo uo mkali sana tena sana
Kama ukiwa sirious na pesa ipo mkononi uwezi kuiyacha kabisa nyumba nzuri sana ipo mbagala chamaz kwa mkongo jiji la dar es salaam wilaya temeke kata ya chamaz mtaa wa dovya

Ukubwa wa eneo square miter 800
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa upimaji shilikish Usha fanyika

Bei ya nyumba tsh million 240 tu
Ukiwa sirious njoo uone live ukilizika na nyumba mna Kaa chini na mwenyewe mna ongea vzuri biashara

Ndani fence kuna vyumba kubwa ya kisasa kabisa ina vyumba vnne vya kulala vyumba vyote ni masters bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina maji kila kona yana Toka

Pia kuna kigolofa pembeni ya nyumba kubwa nayo ina vyumba vitatu vya vyumba viwili ni masters bedroom na choo cha nje

Kwa izo zote mbili kwa bei iyo iyo ya milion 24p tu maongezi yapo
Nyumba zote zime kamilika kila kitu mpa ac
Na ulinzi wa fence short ya umeme

Nyumba ina kisima cha maji ipo kwenye mtaa nzuri sana Jillian kabisa na stendy ya dala dala kwa mkongo

Ukitaji kuiyona nipigie cm au nichek Whatsapp 0759203175. 0652618143

Man Chala Juma
dalali_rick_loss_mbagala_dar
Man Chala Juma

Similar items by location

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

NYUMBA YENYE VYUMBA 4,TSHS.40 MILIONI,MBAGALA-CHAMAZI/SAKU.Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300.Umiliki n...

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

NYUMBA YENYE VYUMBA 4, TSHS.45 MILIONI,MBAGALA-CHAMAZI/SAKU-LULUChumba kimoja ni Masta.Ujenzi wa kis...

2 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 69,000,000

NJOO BOSS WANGU NKUZIE HII NYUMBA NZURI SANA MPYA KABISA IME JENGWA KISASA KABISA NYUMBA IPO MBAGAL...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 60,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Nyumba ya vyumba 3vya Kulala STINGIROOM DAININGIROOM KITCHEN TOIL...

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Saku ilulu nyumba ya vyumba 4vya Kulala masters bedroom stingiroo...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 48,000,000

Sh. 39,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Saku mwisho nyumba ya vyumba 4vya Kulala masters bedroom stingiro...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 115,000,000

Nyumba Nzuri Sana Inauzwa Tsh Million 115 tuNi nyumba Mpya Nyumba Ipo Mbagala ChamazJiji la dar es ...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 60,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Nyumba ya vyumba 3vya Kulala STINGIROOM DAININGIROOM KITCHEN TOIL...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 48,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Nyumba ya vyumba 3vya Kulala STINGIROOM DAININGIROOM KITCHEN TOIL...

House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 118,000,000

NYUMBA KALLI SANA INA UZWA BEI NZURI SANA TSH MIL 118 TUNYUMBA IPO MBAGALA CHAMAZI MKOA WA DAR ES SA...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

Nyumba Nzuri Sana Inauzwa Tsh Million 120 tuNi nyumba Mpya Nyumba Ipo Mbagala ChamazJiji la dar es ...

House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 118,000,000

NYUMBA KALLI SANA INA UZWA TSH MIL 118IPO MBAGALA CHAMAZ JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA ...

House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 118,000,000

NYUMBA KALLI SANA INA UZWA BEI YA KUTUPA SANA TSH MIL 118 tuIpo mbagala chamaz jiji la dar es salaam...

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 39,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Saku mwishoDar es salaamBei milioni 39,000,000/= milioni075912874...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi manispaa ya temeke dar es salaamBei milionk 130,000,000/= milioni...

2 Bedrooms House for Rent at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Nyumba inapangishwa bei laki 3 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 4 nakuendelea. Nyumba ipo mbagala chamaz...

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Saku iluluDar es salaamBei milioni 45,000,000/= milioni0759128747...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 105,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi dar es salaamBei milioni 105,0759128747 06244365030712058357 what...