3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA 4 ZINAUZWA MBAGALA CHAMAZI
bei milioni 220
0713672719📱0767672719
nyumba zipo mbagala CHAMAZI kwa mapunda
nyumba zipo nne pamoja
kila Moja Ina vyumba vitatu kimoja Master sitting room dining room jiko stoo na public toilet bei milioni 220