3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam







Njoo mbagala chamaz mikumi jiji la dar es Salam wilaya ya temeke kata ya chamaz mtaa wa vigoa ina uzwa tsh mil 43 tu
0759128747 } { 0624436503
0712058357 } { whatsapp
Eneo square mitar 380
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Vyumba vipo vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom
Ina sitting room na dining room Ina jiko na public toylety
Kutoka bara bara kuu ya lami kuja kwenye hii nyumba ni dakika 2 tu
Yani una tembea tu kwa miguu
Kalibu sana boss wangu uje ukague