3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam







NYUMBA IPO MBAGALA CHAMAZI MKOA WA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI MTAA WA VIGOA INA UZWA TSH MIL 44 TU
NJOO 🏃♀️➡️ BOSS WANGU NKUZIE HII NYUMBA KWA BEI YA KUTUPA SANA
+255652618143. +255759203175
NYUMBA IPO JILANI KABISA NA BARA BARA KUU YA LAMI
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET 🚻
UKUBWA WA ENEO SQUARE MITER ⬛️ 280 INA DOCUMENTS ZOTE ALALI ZA OFFICE YA SILIKALI YA MTAA
NJOO BOSS WANGU UKAGUE HII NYUMBA NI NZURI SANA IME NJOOKA SANA
NIPIGIE CM BOSS WANGU AU NICHEKI WHATSAPP 0652 618 143 📞 0759 203175 📞