3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa ipo mbagala mzinga kongowe bei milioni 13 maongezi yapo kidogo. Nyumba ina rooms 3 vyakulala sitting room, room moja ni master bedroom, public toilet, umeme upo unawaka pamoja na maji pia yapo. Mwenywe anashida wahi chap. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.