3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
Vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina maji na umeme upo wa luku nyumba nzuri sana ipo mbagala chamaz kwa mapunda
Njoo uone live mdau wangu ukiwa sirious uwezi kuiyacha kabisa nyumba nzuri sana ina uzwa bei ya kutupa sana tsh million 55 tu
Kwa maelekezo zaidi nipigie cm au nichek Whatsapp video 0652618143. 0759203175