3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA MILIONI 65 MAONGEZI YAPO IPO MBEZI MALAMBA MAWILI DSM KARIBU SANA NA BARABARA YA LAMI.
===
Bei Mil. 65 Maongezi yapo
=
Ukubwa wa eneo SQM 1000
=
Vyumba 3 vyakulala vyote master bedrooms sebule dinning jiko na public toilet
==
INA PARKING KUBWA SANA NA MFUMO WA GARDEN UMEJENGWA
MFUMO WA MAJI NA UMEME UPO KARIBU SANA
===
KUONA NYUMBA TSH 30,000
PIGA/WHAT'S APP 0689-547258