3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


**NYUMBA INAUZWA – TZS MILIONI 47 (MAONGEZI YAPO)**
📍 *MBEZI CHUO CHA SAINT JOSEPH* - Dar es Salaam, Tanzania
✔ Vyumba vitatu vya kulala (kimoja ni master)
✔ Sebule
✔ Chumba cha kulia (Dining room)
✔ Jiko
✔ Choo cha umma
✔ Ukubwa wa kiwanja: 400 sqm
🏠 Pia kuna servant quarter yenye vyumba vitatu; ukizimalizia, unaweza kuweka wapangaji.
📝 *Hati ya mauziano* (Sales agreement) kutoka serikali za mitaa. Kiwanja kimepimwa, na hati miliki itatoka kwa jina la mteja atakayenunua.
💧 Maji safi (Dawasco) na umeme vipo kwenye nyumba.
📍 Nyumba ipo mtaa mzuri sana, umbali wa mita 900 tu kutoka Morogoro Road (Chuo cha Saint Joseph).
**Visitation fee: TZS 30,000**
0614130017 whatsap
0788156493
0760053111