3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


FOR SALE FOR SALE FOR SALE 
NYUMBA NZURI KUBWA YA KISASA INAUZWA  MBEZI LUGURUNI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA KIBAHA
Ukubwa wa ENEO SQM 1200
Nyumba ina vyumba 3 vyakulala vyote master bedrooms sebule jiko kubwa stoo dinning na public toilet 
Nje kuna ENEO kubwa limebaki unaweza kujenga tena au hata kufuga
Umbali KM 2.5 kutoka Morogoro Road,nyumba inatazama barabara ya mtaa kabisa ,huduma zote Muhimu zipo hapa 
ENEO limepimwa bado hati Tu
Bei: Million 150 maongezi yapo 
#nyumbabora #propertymanagement #property




















