3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA SAFI KUBWA YA FAMILIA INAUZWA
NI YA KUNUNUA NA KUAMIA INA TILLES GYPSUM SAFI NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDAN
UKUBWA WA ENEO SQMT 500
SIFA ZA NYUMBA
================
INA VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER KUBWA SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET
IPO MBEZI MWISHO MAKABE UMBALI WA KM 2 TU KUTOKA MOROGORO ROAD
BEI NI MILIONI 60 Maongezi yapo
SERVICHAJ ELFU 25
CONTACT
0712656027