3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA MBEZI LUGURUNI, IKO UMBALI WA KILOMITA 1 TOKA MAIN ROAD. (MOROGORO ROAD)
LOC :MBEZI LUGURUNI
AREA :SQM 900
PRICE : MIL 120
UMILIKI:HATI
SIFA:-
-VYUMBA VITATU VYA KULALA, 1 NI MASTER
-SEBULE
-DINNING
-JIKO NA STOO YAKE
-CHOO CHA PUBLICI
HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 30. HII HAIHUSISHI USAFIRI
0788156493
0614130017
0760053111