3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


Pagale zuri sana linauzwa milioni 15 Lipo mbezi makabe kwa bundala STREET) - Dar es salaam - Tanzania
▫Vyumba Vitatu vya Kulala
Master Bedroom
Sitting room
Kitchen
Public toilet
Ukubwa wa kiwanja: sqmt 300
document Sales agreement Hati ya mauziano ya selikali za mitaa
Kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la
mteja atakae nunua
Maji safi dawasco yapo umeme upo
USAFIRI UPO WAKUTOSHA
DALADALA TSH. 700 KUTOKA MBEZI MWISHO
PIA KUNA BAJAJI
BEI MILIONI : 15
SIMU
0712656027