3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI INAUZWA (MILLION 150) MBEZI KWA MSUGULI KWA NIABA YA BANK
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Pia Kuna Servant Quarter Ya Vyumba Viwil
Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 650
Sio Mbali Kutoka Barabara Kuu Ya Lami (Morogoro Road)
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Bei : 150 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
☎️0788 077337 ☎️ 0625 637254