3 Bedrooms House for sale at Mjini, Ruvuma


NYUMBA INAUZWA MAHUNGU DODOMA.
👉10km kutoka mjini na 2km kutoka lami
👉Ina vyumba vitatu, viwili master, dinning, jiko, stoo na public toilet.
👉Kiwanja kina 450sqm kimepimwa na kina hati.
👉 Nyumba imekamilika kila kitu ni ya kuhamia. Ni nzuri pasipo kifani na ipo Mtaa uliopangiliwa vizuri.
👉Bei ni milioni 95 tu
Site fee 20,000
☎️0787037986
“Ora et labora, pray and work”