3 Bedrooms House for sale at Mwera, Tanga


NYUMBA NZURI SANA, VYUMBA 3, TSHS.130 MILIONI,
MWERA- MSUFINI, UNGUJA/ZANZIBAR.
Kama sio Makazi wajanja sehemu kama hizi wanafanya shughuli kama Air BnB nk.
Nyumba nzuri, salama na mazingira tulivu.
Kiwanja Sqm.500.
Umiliki MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 3( 2 Vyoo ndani)
Wahi mapema usije kujilaumu.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
_______________