3 Bedrooms House for sale at Tabata, Dar Es Salaam
🔰Pagale La Gorofa moja LINAUZWA, TABATA MAJI CHUMVI KWA SWAI
📍 Bei ni Milioni 25 tu
______________
____
★Floor ya Chini ina:- Chumba Master, Jiko, Sebule na Choo cha Familia
★Floor ya Juu Ina:- Vyumba 3 vya kulala na Vyote ni Master
#Ukubwa wa Eneo ni SQM 400
#Bei ni 25,000,000/= tu
_________
#Kupelekwa Kuona Nyumba 25,000/=
№:- 0753172516