3 Bedrooms House for sale at Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa Tsh Milioni 130,
Tabata Bonyokwa,Dar es salaam Tanzania.
________
■Nyumba ina vyumba 3vya kulala/kimojawapo kina choo na bafu/sebure/jiko/choo na bafu vya familia nk.
______
■Mnunuzi: Atalipia Tsh 30,000/= kupelekwa kuoneshwa nyumba,
________
■Napatikana ; Kinyerezi Dar es salaam Tanzania
■piga simu/WhatsApp no +255(0)689508094.