3 Bedrooms House for sale at Ubungo, Dar Es Salaam
Nyumba kalli sana ipo mbez msakuzi jiji la dar es Salam wilaya ya ubungo Ina uzwa tsh mil 180
Ina vyumba vitatu vya kulala vyumba viwili ni masters bedroom ina sitting room na daining room inajiko na store public toylety ina maji na umeme upo wa luku
Ukubwa wa eneo square mitar 1200
Ina document yamsuziano ya office ya serikali ya mtaa
Njoo site ukague mdau wangu nyumba nzuri sana
0759 203175. 0652618143