3 Bedrooms House for sale at Ubungo, Dar Es Salaam


NYUMBA YA 200K BEI YA OFA ,NYUMBA YA VYUMBA 3 SEBULE JIKO CHOO BAFU HAINA MASTER UMEME NA MAJI INAJIGEMEA NYUMBA IPO KWENYE FENSI IMEPIGWA MBELE VYUMBA VIKUBWA SANA LOCATION UBUNGO MAKOKA STEND DK 5 AD 6 KWA KUTEMBEA
NYUMBA IPO KWENYE MAREKEBISHO ISHABIGWA RANGI NJEE WANAKUJA NDANI NYUMBA YA FAMILIA
MAZINGIRA YAKE SALAMA NA TURIVU KWA WATOTO
USALAMA UPO WA KUTOSHA JESHI INAKULINDA
SEBULE KUBWA YA KUJIACHIA
JIKO KUBWA SANA ZURI
VYUMBA VYOTE VIKUBWA VYA KUJIACHIA
BAFU KUBWA
CHOO KIKUBWA
PIGA CM CHAPU NYUMBA ZA AINA HIII AMNA SAIVI
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI