3 Bedrooms House for sale at Ukonga, Dar Es Salaam
STANDALONE INAPANGISHWA
VYUMBA VITATU MASTER MOJA
SEBULE KUBWA
CHOO CHA PUBLIC
JIKO LA KISASA
#LOCATION UKONGA MOMBASA MOSHIBAR
#BEI 300,000 X6
NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE FENCE
INA KISIMA CHA MAJI
MAJI BURE
DAKIKA 5 UKO STENDI
0785088191
0715800811
FUNGUO INALETWA SAA 8 LEO