3 Bedrooms House for sale at Vikindu, Pwani
NYUMBA YA VYUMBA VITATU (3) TSHS.12 MILIONI,VIKINDU.
Hii nyumba Inajitegemea na ina Fremu moja ya Biashara.
Ina Vyumba vya kulala 3 ( Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Ipo VIKINDU, Barabara ya KILWA,
Njia ya kuelekea MKURANGA.
Kiwanja SQM.400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
__________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.