2 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam







19/4/2025
Nyumba inapangishwa zipo nne
Location bunju b
Ipo ndani ya fence Inajitegemea maji na umeme Unatembea kwa miguu
Kodi 300000 kwa mwezi
Miezi 6
Vyumba 2 kimoja master sitting room dinning room kitchen cabinet public toilets
Piga simu O745010009 au 0742707023