2 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam


NYUMBA YA VYUMBA 2 INAPANGISHWA – BUNJU
📍 Dakika 5 kutoka Lami
Muundo wa :
🛏️ Vyumba 2 vya kulala
🛋️ Sebule
🍳 Jiko
🚽 Choo cha Public
💰 Kodi: TSh. 200,000/= kwa mwezi
🧾 Service Charge: TSh. 15,000/=
📞Call/WhatsApp: 0687 800 788