2 Bedrooms House for Rent at Buswelu, Mwanza
Nyumba hii inapangishwa Iko Buswelu Mwanza Wilayani Ina vyumba viwili vya kulala kimoja master bedroom jiko public toilet inajitegemea umeme Bei 250,000/= kwa mwezi malipo miezi6 sawa Tupigie 0686887297 au 0767346478