2 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


45 millions mazungumzo yapo
Square meters 420
1. NYUMBA: Vyumba 2 kimoja master, Sebule, Jiko, Public toilet
👉Nyumba inahitaji finishing chache kuwa kwenye ubora zaidi kama kuingiza maji ndani (maji dawasa tayari yapo kwa nje).
Kuweka tiles, na kupaka rangi.
2. PAGALE: Chumba, Sebule, Jiko, Choo
3. Kuna space ya kuongezea nyumba kama unataka za wapangaji au kuweka parking space kubwa zaidi....
NB: Mpangaji aliyetoka hapo alikuwa analipa 250,000 kwa mwezi.
📍GOBA TEGETA A, Bajaj 500 kutokea lami ya Goba (Njia panda ya Tegeta A)
0714733355 nipigie/WhatsApp