2 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam
Inapangishwa: Stand alone
INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE, NYUMBA YA 2 TOKA #LAMI
dakika moja toka lami
Location :: Goba njia nne
Bei yake :: 900,000Tsh kwa mwezi (Miezi 7)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (vyote Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans & Air Conditions
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡️Cctv Cameras
🌡️Remote Gate
🌡️Electric Fence
Call/
0693460720
0761719944
_
PIGA SIMU