2 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa vyumba viwili kimoja master bedroom public toilet jiko kumbwa Sana
Huduma maji dawasco na umeme unajitengemea
Full AC sebleni na chumbani
Bei 650,000 Kwa mwezi Kodi miezi6 tu
Nyumba zipo goba Simba 🛢️
Nipigie simu
📲 0682 402 327 📶
📲 0653 267 999 📶 ya WhatsApp