2 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam
NYUMBA MPYA NZUR ZINAPANGISHWA
Location: KIBAMBA GOGONI...
UMBALI WA DK 5 KUTOKA MOROGORO ROAD
ZIPO NYUMBA 4 MPYA ZIPO HATUA ZA MWISHO KUKAMILIKA WAHI KUONA NA KULIPIAA
KUNDI "A"
-SEBULE KUBWA
-JIKO KUBWA (OPEN KITCHEN)
-VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
-PUBLIC TOILET
-UMEME LUKU Yako
-MAJI METER Yako
BEI NI 300,000 ILIPWE MIEZI 3 KUENDELEA
KUNDI "B"
-SEBULE
-JIKO(OPENI KITCHEN)
-CHUMBA MASTER
-UMEME LUKU Yako
-MAJI METER Yako
BEI NI 150,000 ILIPWE MIEZI 3 KUENDELEA
*ANGALIZO; KUINGIA NI 01/02/2025
KARIBUNI SANA UWAHI KUCHAGUA ZIMEBAKI CHACHE*
📲0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp